Psalms 51:16-17


16 aWewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta,
hufurahii sadaka za kuteketezwa.

17 bBali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika,
moyo uliovunjika wenye toba,
Ee Mungu, hutaudharau.

Copyright information for SwhKC